drone

n 1 nyuki dume. 2 mvivu; (colloq) kupe. 3 mvumo. 4 msemaji hotuba isiyosisimua vt,vi 1 vuma. 2 ongea bila kusisimua/kuchangamka. 3 ~ on endelea kuchosha the meeting ~ on for hours mkutano uliendelea kwa saa nyingi.