drink

drink

1 vt,vi 1 -nywa. 2 ~ down/off/ up -nywa yote. 3 ~ in/up pokea (sikia/ ona) kwa furaha; pokea akilini; (of plants) nywa. 4 kunywa sana. 5 ~ (to) takia heri, kwa afya ya.

drink

2 n 1 kinywaji, kileo soft ~ kinywaji baridi. 2 ulevi, kileo, pombe strong ~ pombe kali have a ~ kunywa (kinywaji). be in ~/the worse for ~/ under the influence of ~ wa katika hali ya kulewa. take to ~ ingia ulevini. 3 (colloq) the ~ n bahari; ziwa, mto. drinkable adj -a kunyweka. ~ (pl); drinkables n vileo. drinker n mnywaji; mlevi. drinking n unywaji. ~ing-bout n mfululizo wa kulewa. ~-ing-fountain n mashine inayorusha maji ya kunywa. ~ingwater n maji ya kunywa.