drill
drill
1 n keekee vt,vi toboa shimo kwa keekee.drill
2 n 1 mafunzo ya wanajeshi juu ya matumizi ya silaha; kwata. 2 mafunzo kamili yenye mazoezi mengi ya kurudiarudia. 3 taratibu (k.m wakati wa dharura).drill
3 n mfuo (wa kupandia mbegu) vt panda mbegu katika mfuo.drill
4 n dreli (aina ya kitambaa kigumu).