drift

n 1 mkondo (k.m. wa maji); mwelekeo wa mkondo; mvuto wa meli (chombo nje ya uelekeo wake kwa mkondo). 2 (heap ) lundo, chungu (ya majani, mchanga n.k.) iliyofanywa kwa upepo/bahari n.k. 3 maana, mwelekeo I see his ~ naelewa maana yake. 4 hali ya kwenda bila malengo wala mwelekeo. 5 mwelekeo (usio na mpango) the ~ is towards war tunaelekea kwenye vita n 1 kwenda pepe. 2 mvuto, mwelekeo. 3 vitu vilivyopwelewa. ~-anchor n nanga ya pepe. drift-ice n mabonge ya barafu yanayochukuliwa na mkondo. ~-net n jarife (la kusambaza). ~-sand n mchanga unaopeperushwa. drift-wood n mbao zilizopwelewa vt 1 chukuliwa. 2 tangatanga hapa na pale, zurura. 3 -enda pepe/kombo/mrama; fuata upepo. drifter n mzururaji; boti ya kuvulia.