dress

vt,vi 1 visha/vaa nguo. be ~ed in vaa she was ~ed in red alivaa nguo nyekundu. 2 ~ up valia (vizuri/rasmi); vaa nguo za kutokea. 3 visha ~ your children visha wanao, patia mavazi. 4 tayarisha (kwa matumizi) to ~ a chicken kumtayarisha kuku (kwa kupika). 5 tengeneza nywele. ~ down (fig) karipia, kemea. 6 funga (kidonda). 7 vutia. 8 panga (askari). dresser n 1 meza (kabati) ya jikoni. 2 (US) kabati la kujipambia. 3 muuguzi msaidizi anayesaidia kufunga vidonda. 4 mtu anayewasaidia waigizaji kuvalia rasmi kabla ya mchezo kuanza. n nguo, mavazi. evening ~ n vazi la jioni. morning ~ n vazi la asubuhi. ~ coat n koti jeusi wavaalo wanaume jioni. ~ rehearsal n zoezi la mwisho (la mchezo/tamthiliya ngoma) ambapo wahusika wanavaa mavazi yao ya mchezo. full ~ n mavazi rasmi. dressmaker n mshonaji magauni. dressing n 1 uvaaji. 2 (med.) kufunga vidonda; bendeji ya vidonda. 3 masala; chatne, siki. 4 dondo/wanga. 5 (manure) mbolea, samadi. dressing-case n kishubaka cha kuwekea vyombo vya safari. ~ing-gown n vazi livaliwalo wakati mtu anapopumzika. ~ing -room n chumba cha kuvalia nguo. ~ing-table n meza ya kujipambia. dressy adj (colloq of persons) -enye mavazi mazuri, maridadi, mtanashati.