1vt nyunyizia ~ meat with flour nyunyiza unga juu ya nyama. dredgern chombo cha kunyunyizia unga, sukari n.k; kinyunyizio, mrashi.
dredge
2n kizoa taka (chini ya maji). vt~ (up) zoa taka (chini ya maji mtoni n.k.) kwa wavu. 2 vua kwa wavu. dredgern merikebu ya kuvua/kuzoa/ kuvuta takataka.