drape

vt 1 ~ (around/over) funika na kitambaa. 2 ning'iniza nguo kuzunguka au juu ya kitu. 3 ~ (with) funika/pamba. 4 pumzisha, laza, bwaga. draper n (GB) mwuza nguo a ~r's shop duka la nguo. drapery n 1 biashara ya kuuza nguo. 2 nguo. 3 nguo zinazoning'inia, mapazia.