drama

n 1 drama; tamthiliya. 2 mfululizo wa mambo/matukio ya kuvutia. dramatic adj -a drama; -a kutia shauku/kuvutia; (of a person, behaviour) -enye kuonyesha hisia kwa namna ya kuvutia/mno, -enye kupenda kuigiza. dramatically adv. dramatics n usu with sing 1 sanaa ya kuandaa na kuonyesha tamthiliya. 2 tabia ya kujionyesha. dramatist n mwandishi wa tamthiliya/drama. ~tis personae n pl (lat) (orodha ya) wahusika wa tamthiliya. dramatize vt 1 igiza tamthilia/ drama; geuza hadithi kuwa ya kidrama; -wa na tabia ya kidrama. 2 geuza. 3 tia chumvi, igiza. dramatization n. dramaturgy n sanaa ya kutunga tamthiliya.