dragon

n dragoni; zimwi; mnyama mtambaachi mkubwa wa kubuni (mwenye mbawa na kucha, na daima hupumua moto). ~'s blood n gundi nyekundu; (colloq) mtu mkali. dragon-fly n kerengende.