drag

drag

1 vt,vi 1 kokota, buruta; enda pole na kwa shida; kawia, chelewa. ~ one's feet vuta miguu; (fig) fanya shingo upande. ~ somebody into doing something lazimisha/fanya mtu afanye jambo bila hiari. ~ up (a child) lea vibaya mtoto. ~ up leta, ingiza (swali/hoja). 2 (search) tafuta majini kwa kutumia wavu. 3 vuta (nanga). 4 vuta kiubavubavu mshipi wa kuvulia. 5 ~ about vuta popote. ~ down shusha hadhi, fanya nyonge. ~ in (colloq) vuta ndani, ingiza. ~ on endelea na jambo hilohilo kwa namna isiyopendeza/kwa kuchosha ~ on a miserable existence endelea katika maisha ya dhiki. ~ out vuta, endeleza kwa muda mrefu; refusha bila sababu.

drag

2 n 1 (hindrance) kizuio, mgogoro, mzigo; (net) jarife, juya. 2 (colloq) mzigo, mtu anayechosha. 3 (sl) mavazi ya kike yanayovaliwa na mwamume. 4 (sl) mkupuo wa sigara. ~ chain n mnyororo wa kuburura. ~y adj (colloq) -enye sura mbaya, -siopendeza, -nayochosha.