dower

n 1 haki ya mke mfiwa (kutokana na mali ya mumewe), sehemu ya urithi (wa mali ya mume) apewayo mjane mwanamke. 2 mahari. 3 kipaji (k.m. akili) vt 1 lipa mahari. 2 -pa kipaji.