dowel

n ( ~ -pin) kiwi, pini isiyo na kichwa, kijiti kiingizwacho ndani ya tundu kuviweka vitu pamoja.