n 1 njiwa (wadogo zaidi kuliko wafugwao); alama ya amani. 2 mpatanishi (katika utesi). 3 (fig) mpenzi. 4 (colour) mpigania amani, mwanachama wa watetezi wa amani. ~colouredadj -a rangi ya njiwa. flutter the ~ cotes shtua watu wapole/wakimya. ~-coten tundu la njiwa. ~eyedadj -enye macho ya njiwa (kwa upole na usafi). ~hawkn mwewe. dovetailvt,vi (mortise) unganisha (mbao) kwa kufanya vipande viwili viumane; (fig) umana, kubaliana n kiungo cha mbao; kuumana. ~tail-joint makern mtengeneza viungo vya kuumana.