douse/dowse

vt 1 lowesha, mwagia maji; chovya majini; zamisha. 2 (naut) teremsha tanga; funga kishubaka; anguka majini; tua tanga. 3 zima (taa).