double

adj 1 maradufu. 2 (in pairs) -wili, kwa jozi. 3 tengenezwa kwa ajili ya watu au vitu viwili. 4 (of flowers) -enye zaidi ya duara moja ya petali. 5 -enye kazi/faida mbili. ~ dealing n, adj (u)janja, (u)kauleni, (u)danganyifu, (u)ndumakuwili. ~dealer n mdanganyifu, ndumakuwili, kauleni n 1 kitu kilicho mara mbili (ya ukubwa/nguvu/mwendo, n.k. wa kawaida). 2 (counterpart) mwenzi wa mtu/kitu kingine, nakala, rupia kwa nyenziye ~ of his father anafanana na baba yake. 3 (Tennis) mchezo wa watu wawili kila upande. 4 at/on the ~ chapuchapu, shoti, haraka. 5 mwigizaji badili. ~or quits pata potea adv 1 mara mbili cost ~ gharimu mara mbili. 2 kwa jozi vt,vi 1 rudufu, zidi/zidisha mara mbili, ongeza/ongezeka. ~ up in a room weka watu wawili katika chumba kimoja. 2 ~ up/over/across kunja/kunjika, pinda/pindika mara mbili; (of a pair of trousers) sega, pania. 3 (naut) zunguka, badili mwelekeo haraka (pitia rasi). 4 fumba. 5 ~ back rudi mbio haraka ~ up (with pain) jikunja (kwa maumivu); (with laughter) angua kicheko ~ as (play) igiza wahusika wawili; fanya kazi mbili; (in room/ bed) lala wawili wawili adj, adv (in compounds) ~barrelled adj (of a gun) -enye mitutu miwili ~-barrelled gun bunduki yenye mitutu miwili; (fig, of a compliment, etc) -enye utata. ~ bass n (music) zeze chini. double-bedded adj (of a room) -enye vitanda viwili; chumba cha watu wawili. ~-bind n kuwa katika ugumu wa kuamua; shaka. ~ -breasted adj (of a coat) -enye safu mbili za vifungo. double-check vt kagua/ chunguza maradufu; saliti; danganya. double-cross n tendo la kudanganya au kusaliti. ~decker n meli/basi/kitanda cha ghorofa. ~ take kuchelewa kung'amua/kutambua jambo. ~ talk n kusema kinyume. ~ think n uwezo wa kuamini mambo mawili yanayopingana. double-edged adj -enye sehemu mbili za makali; (fig, of an argument, compliment) -enye utata. ~-entry adj (of a cash book) maingizo mawili. ~-entry system n mpango wa maingizo mawili. double-faced adj -nafiki; (of a cloth) -enye nyuso mbili. ~ first n shahada ya daraja la kwanza kwa ajili ya kufaulu masomo mawili kwa wakati mmoja. ~jointed adj -enye viungo vinavyokunjika isivyo kawaida. ~ park vt,vi egesha gari njiani kando ya gari lingine. double-quick adj -a mbio, -a haraka adv upesi sana, haraka sana. double-stop n (music) sauti mbili kwa pamoja (za noti). doubly adv 1 mara mbili. 2 to be doubly faithful kuwa -aminifu sana.