doss

n ~ house n nyumba ya kulala wageni ya bei nafuu; hoteli ndogo; usingizi mfupi vi (sl) lala katika hoteli. ~ down enda kulala. ~ out lala nje! dosser n mzururaji.