dope

n 1 rangi ya kung'arisha, vanishi. 2 (colloq) dawa ya kulevya (k.m. afyuni, kasumba, bangi). 3 (sl) maelezo, habari. 4 mpumbavu vt 1 -pa dawa (hasa inayolevya). 2 changamsha kwa dawa ya kulevya (k.m. farasi au mbwa katika mashindano). 3 laza kwa dawa. dopey adj 1 jinga. 2 -liolala nusu, levi; (sl) -liopumbazwa na dawa ya kulevya (bangi n.k.). ~-fiend n (sl) mtumwa wa dawa za kulevya.