door

n 1 mlango; (of two halves) tarabe. back ~ n mlango wa nyuma, mlango wa uwani. front ~ n mlango wa mbele, mlango mkubwa be on the ~ kusanya tikiti mlangoni; simama mlangoni. 2 (fig) nyumba. next ~ (to) nyumba ya pili (jirani). next ~ to (fig) karibu na. two/three ~s away/down/off nyumba ya pili/tatu kutoka--. ~ to ~ nyumba hadi nyumba. out of ~s nje (ya nyumba). within ~s ndani (ya nyumba). at death's ~ karibu ya kufa. lay something at somebody's ~ sema kuwa fulani anawajibika kwa jambo fulani, laumu, shutumu. show somebody to the ~ sindikiza mgeni show somebody the ~ fukuza, toa nje. 3 (fig) namna ya kupata (kufikia) kitu. a ~ to success njia ya kupata mafanikio. close the ~ against somebody zuia mtu kufanya jambo, vunja uwezekano. send the ~ in someone's face zuia mtu asiingie, zuia mpango wa mtu. (compounds) ~ bell n kengele ya mlango. ~ case/frame n fremu ya mlango. ~ handle n mkono wa kitasa cha mlango. doorkeeper n bawabu. ~ knob n kitasa cha rungu/nundu. as dead as a ~nail kufa fofofo. doorplate n kibandiko cha kutia jina (namba) la mwenye nyumba, kipande cha anuani. doorpost n mhimili, mwimo. as deaf as ~post kiziwi kabisa. doorstep n ngazi za mlangoni. ~stopper n kishikizi/kizuizi cha mlango. ~ way n mlangoni.