donate

vt toa/-pa msaada (kwa fedha n.k.), changa. donation n utoaji msaada; msaada, mchango. donor n mfadhili, mhisani, mtoa msaada/ mchango. blood donor n mtoaji damu; mtu anayejitolea damu.