domicile

n (formal) makao, makazi; nyumba, maskani vi fanya maskani, anzisha makazi. domiciliary adj (formal) -a kimakazi domiciliary visit ziara ya afisa wa serikali/mganga nyumbani kwa kufanya upekuzi/ matibabu.