dole

vt ~ (out) gawia (chakula, fedha kidogo kidogo watu wenye shida) n wasio na kazi. be/go on the ~ anza kupata posho hii kwa sababu ya kukosa kazi. doleful adj -a huzuni, -a majonzi, -enye moyo mzito.