dogma

n 1 imani, mfumo wa imani unaofundishwa na kanisa. 2 (usu derog) imani (ambayo watu wanatakiwa kukubali bila kusaili). dogmatic adj 1 -enye kutangazwa kama imani ya kanisa. 2 (of a person) -enye kulazimisha kauli (bila kutaka kusailiwa). 3 (of statement) -liotolewa/lazimishwa bila kuthibitishwa. dogmatics n elimu ya imani za dini. dogmatism n kung'anga'nia/kulazimisha kauli/imani/tabia. dogmatize vi,vt shikilia/ lazimisha kauli, shauri, maneno.