dodeca

(pref.) kumi na mbili. dodecagon n pembe kumi na mbili. dodecahedron n umbo lenye sura kumi na mbili dodecasyllable n mstari wenye silabi kumi na mbili.