document

n hati, nyaraka vt thibitisha kwa kutoa hati/-pa hati, toa hati. documentation n uandikaji wa hati; hifadhi ya hati. documentary adj 1 -a hati, -enye kuandikwa. documentary evidence n ushahidi ulioandikwa 2. (of film) -a mambo yasiyokuwa ya kubuni; -a maisha halisi n filamu ionyeshayo hali halisi.