doctrine

n 1 kanuni, mafundisho (ya dini, vyama vya siasa n.k.), imani it is his ~ ndiyo imani yake. doctrinaire; doctrinar n mnadhariasugu adj -a kanuni/nadharia tupu doctrinaire socialism ujamaa wa nadharia tu. doctrinal adj -a kanuni, -a mafundisho; -a madhehebu (ya dini).