doctor

n 1 daktari, tabibu, mganga. 2daktari (wa falsafa): mtu mwenye shahada ya juu kabisa katika somo.~ of laws n daktari wa falsafa katika sheria vt 1 (colloq) ganga, tibu. 2 (mend, repair) tengeneza. 3 ghushi. ~ food ghushi chakula: fanya chakula/kinywaji kiwe kibaya kwa kuongeza kitu kingine. ~ the accounts ghushi hesabu. 4 (of animals) hasi. doctorate n shahada ya udaktari. doctorial adj -a udaktari.