docket

n 1 muhtasari (wa barua, hati n.k). 2 (comm) orodha (ya bidhaa, kazi zilizofanywa). 3 lebo (juu ya bidhaa iliyofungwa kueleza vitu vilivyomo, matumizi au jinsi ya kuunganisha) vt 1 andika (muhtasari wa barua, hati n.k.). 2 orodhesha (bidhaa; kazi zilizofanywa). 3 andika lebo.