dock

dock

1 vt ~ (off) (of tail), fupisha, punguza. 2 kata, punguza (mshahara, chakula).

dock

2 n (of court) kizimba.

dock

3 n 1 gati, bunta. dry ~ n guda.dockyard n gatini. 2 (pl) bandari vt,vi 1 (of ship) pandisha gudani; funga gatini. 2 unganisha vyombo viwili vya anga. docker n hamali, kuli.