divorce

n 1 talaka grounds for ~ sababu za talaka. 2 mtengano, mwisho wa ushirikiano (wa vitu viwili vilivyoshikamana) vt ~ (from) 1 taliki, tangua ndoa. 2 (fig) (separate) tenga; tenganisha. divorcee mtalaka.