divine

divine

1 vt,vi agua; bashiri, tabiri. divination n uaguzi; ubashiri, utabiri. diviner n mwaguzi. ~-rod n fimbo ya mwaguzi.

divine

2 adj 1 -a Mungu, kama Mungu; takatifu ~ service ibada takatifu. 2 (surpassing) (colloq) bora sana; -tukufu; -a fahari n mjuzi wa mambo ya Mungu (dini). divinity n 1 Uungu; Umungu; utukufu wa Mungu. 2 Divine n Mungu. 3 tawhidi, theolojia.