divide

vt,vi 1 gawa; gawanya; gawanyika; tenga the road ~s the village barabara inagawa kijiji. 2~ into/by gawa kwa ~ 6 by 3 gawa 6 kwa 3. 3 (set at variance) gombanisha; gawanya, leta kutokukubaliana. opinions are ~d on this matter watu hawakubaliani kuhusu swala hilo. 4 (classify) pambanua, ainisha. 5 (in parliament) piga kura. 6 ~ up gawana they ~d up the money waligawana pesa. n mpaka; (Geog.) kigawa mito. the Great ~ n mpaka kati ya uhai na mauti.. division n 1 (separation) kutenga, mtengo. 2 (Math) ugawanyaji division sign alama ya kugawanya. 3 (distribution) mgawo, kigawe, mgawanyiko, mgawanyo division of labour mgawanyo wa kazi. 4 (partition) mpaka, kitu cha kutengea. 5 (part) sehemu ya kitu kilichogawanyika au kilichojitenga. 6 kutoafikiana; kutofautiana mawazo. 7 (mil) divisheni. 8 (Parliament) kugawanyika makundi mawili kwa ajili ya kuhesabu kura. division bell n kengele ya kuwaashiria wabunge kuwa kuna kupiga kura. 9 (in govt. establishments) idara budget division idara ya makadirio ya fedha. divisional adj. divisive adj -enye kugawa/kutenganisha. divisiveness n. divisor n (Maths) kigawanyo. divisible adj -a kugawanyika. divisibility n.