diverse

adj -a namna mbalimbali, anuwai. diversify vt 1 fanya tofautitafouti/anuwai/mbalimbali. 2 (of business etc.) panua biashara kwa kutengeneza/kuuza bidhaa za aina nyingine. diversity n hali ya kuwa anuwai, tofauti. diversely adv.