dive

vi 1 zamia majini; (person) piga mbizi. 2 tia mkono ghafla (mfukoni, chomboni n.k.). 3 (go deeply into) jitia kabisa, zamia. 4 (of aeroplanes etc.) piga, mbizi, shuka, ghafla. ~ bomb vt,vi shuka ghafla na kudondosha mabomu n 1 mzamo, mzamio; kupiga mbizi make a ~ into one's pocket tia mkono mfukoni. 2 (colloq) mkahawa/baa isiyo ya heshima. diving-bell n chombo cha mpiga mbizi. diving-board n ubao wa kupiga mbizi. ~bomber; diver n mpiga mbizi. pearl ~ r n mzamia lulu.