distress

vt,vi dhikisha, tesa; huzunisha; tia wasiwasi. ~ oneself jitesa; ona wasiwasi be much ~ed huzunishwa/ sikitishwa na. ~ed area n eneo la dhiki/lisilo na kazi. distressing adj. ~fully; ~ingly adv. n 1 dhiki; majonzi, huzuni companion in ~ rafiki katika dhiki ~ committee kamati ya wenye shida, wasio na kazi. 2 hali ya hatari; tatizo/shida kubwa. ~ signal n alama ya hatari. 3 maumivu, mateso, uchungu.