distract

vt ~ (from) 1 (draw attention) vuta (mawazo, fikra), vuruga (mawazo); ondoa katika shughuli. 2 (occupy) shughulisha. distracted adj. ~ed (with/by) -liochanganyikiwa; -enye wasiwasi. distractedly adv. distraction n 1 (attention) kuvuta mawazo, kuondoa katika shughuli. 2 (unsettlement) fadhaa; mashaka; wasiwasi, hangaiko; wazimu you drive me to ~ion unanitia wazimu. 3 (rest) pumzisho, kitulizo; mchezo, burudiko.