distinguish

vt,vi 1 ~ from pambanua, bainisha, weka mbali. 2 tofautisha ~ between two things tofautisha vitu viwili. 3 (perceive) ona, tambua. 4 oneself jipatia sifa he greatly ~ed himself alijipatia sifa bora. distinguishable adj -a kutambulikana; -a kuonekana dhahiri. distinguished adj maarufu, -a heshima, mashuhuri, bora look ~ed onekana mtu wa heshima.