dissonant

adj 1 -a sauti tafauti (zisizoafikiana, zisizo nzuri); -a makelele. 2 -enye hitilafu. dissonance n 1 sauti zisizolingana; ukosefu wa muwafaka, makelele. 2 tofauti, hitilafu (za imani, vitendo n.k.).