dissimilar

adj ~ (from/to) -siofanana, -enye kutofautiana na. dissimilarity n. dissimilitude n tofauti, umbalimbali. dissimilation n (ling.) msigano: kutofautiana kwa sauti zilizofanana kiasi hapo awali.