dissertation

n 1 tasnifu: andiko au maelezo marefu ya mada fulani (yanayohudhurishwa kwa digrii ya chuo kikuu). 2 insha; hotuba.