dissent
vi 1 ~ from -wa na maoni tafauti, -tokubali, -towafiki. 2 kataa (imani ya kanisa la Kianglikana) n mfarakano wa mawazo, kutokubaliana, kutowafiki. dissension n mfarakano, ugomvi. dissentient adj -enye kuona vingine, -siokubali a ~ient voice -a kukataa, -a kupinga, -enye kukaidi, -enye shauri tafauti n mbishi.