dissemble

vt,vi (formal) ficha (hisia, kitu, nia, maono n.k.). 2 danganya, ghilibu, fanya unafiki. dissembler n mdanganyifu, mnafiki.