dissect
vt 1 changua, kata vipande vipande; tenga sehemu mbalimbali za mnyama, mimea n.k. (ili kuchunguza muundo wake). dissected plateau n uwanda uliogawanyika (katika milima na mabonde). 2 (fig) chambua, hakiki kwa makini au kwa undani kila sehemu. ~ing room n chumba cha kufanyia mazoezi ya upasuaji viumbe. dissection n uchunguzi; sehemu.