disrepute

n tabia/sifa mbaya, utovu wa heshima bring into ~ aziri fall into ~ poteza heshima/sifa njema. disreputable adj -enye tabia/sifa mbaya; -a ovyo he is disreputable looking ni mtu ovyo. disreputable to -enye kuashiria vibaya kwa.