dispose
vt,vi 1 panga ~ the boats in port panga mashua bandarini. 2 ~ of tupa, maliza, angamiza, ondoa ~ of vehicles ondosha/tupilia mbali mikweche. 3 ~ to elekeza; tayarisha. be ~d to taka, penda; elekea. 4 amuru ~ of amuru. man proposes, God ~s (prov) mja hutaka, Mola hujaalia/huamuru. disposable adj -a kutupika, -a kutupa (baada ya kutumika). disposal n disposal (of) 1 utumiaji; utupaji disposal of waste utupaji wa uchafu. 2 udhibiti; mpangilio; upangaji. 3 haki ya kutumia kitu, mamlaka, idhini. at your disposal chini ya mamlaka yako means at my disposal uwezo nilionao. 4 uuzaji; utoaji. disposition n 1 (character) tabia, silika, moyo, welekea. 2 (inclination) elekeo. 3 mpangilio, mpango. 4 madaraka; mamlaka.