displace

vt 1 hamisha, ondoa mahali pake (makazi, nchi, ofisi). displaced persons n wakimbizi: watu waliolazimishwa kuhama (kwa sababu ya vita n.k.). 2 shika nafasi ya mwingine. displaceable adj. displacement n 1 kutwaa mahali pa mwingine. 2 uhamisho. 3 nafasi ya maji iliyotwaliwa na chombo/kitu kinachoelea; maji ya kujaza nafasi hiyo.