dispense

vt,vi 1 gawa, toa (haki, msaada n.k.). 2 ~ (with) acha kutumia, achana na, fanya bila ya, achilia. 3 changanya na toa dawa. dispensable adj si -a lazima; si -a muhimu. dispenser n 1 mgawanyaji wa dawa. 2 kimiminio. dispensary n 1 zahanati. 2 (in hospitals) chumba cha dawa. dispensation n 1 mgawanyo, mgawo. 2 (divine) mpango wa Mungu. 3 (special leave) ruhusa, kibali (cha kuvunja kanuni). 4 mfumo wa dini (katika kipindi fulani maalum).