dislocate

vt 1 tegua, tengua. 2 (disturb) vuruga; fuja, chafua, haribu constant power cuts may ~ business ukatizaji umeme wa mara kwa mara huenda ukavuruga biashara. dislocation n.