disinfect

vt ua viini vya maradhi/ vijidudu, safisha, takasa. disinfectant n kipukusi: kemikali ya kuzuia au kuua viini vya maradhi. disinfection n.