dish

1 n 1 sahani; kombe; bunguu. a ~ful sahani tele. 2 (food) chakula standing ~ n chakula kinacho-andaliwa kila siku. 3 the ~es n vyombo vya udongo (sahani, bakuli, vikombe). ~ washer n mashine ya kuoshea vyombo. ~ water n maji yaliyooshea vyombo. ~ cloth; ~ rag n kitambaa cha kufutia sahani. ~ cover n kawa. 4 (sl) mtanashati (hasa msichana). dishy adj. dish2 vt ~ up pakua; (fig) tayarisha, toa hoja. ~ out gawa. 2 (colloq) vuruga. ~ plans vuruga mipango ya mtu. dishabille n (usu in ~) (usu of woman) uvaaji wa nguo usiokamilika, kuvaa nguo ovyo ovyo.