disguise

vt 1 ficha, funika ukweli. 2 geuza uso (umbo) ili kudanganya n mavazi ya kujigeuza (ya uigaji), umbo la uwongo, hila. under the ~ of kwa kujifanya. blessing in ~ bahati iliyojitokeza kwanza kwa sura ya balaa, kufa kufaana.